Tigo wameni-bless leo

zunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
1,529
Reaction score
1,068
Tigo mtabaki kuwa juu, juu mbinguni yani leo mmejua kunifuta machozi ya bando lililo juu juu angani, yani haya maumivu ya bando ni zaidi na sindano ikipita kwenye ukucha.

Nirudi kwenye mada, leo sina hili wala lile, naamka zangu baada ya uchovu wa jana, kama kawaida kabla sijatoa kongoro zangu kitandani nakagua simu kwanza, nkaona kameseji toka tigo pesa.

Ile naipitia juu juu naona nmepewa buree, rudia buree unit za umeme 30!! Mubarikiwe tigo naomba huo moyo wa upendo muendelee kuwa nao leo na kesho na keshokutwa...

#TigoMtabakiKuaJuuu!!!!
 

Hahhahahahhaha chai kweli ww Yan tigo wanajua mita namba yako
 
Ulisajili NIDA kwa mita namba ya umeme?
 
Itakua Kuna mtu kanunua umeme Kwa tigopesa kakosea kaingiza meter number Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…