Tigo wameni-bless leo

Tigo wameni-bless leo

Tigo mtabaki kuwa juu, juu mbinguni yani leo mmejua kunifuta machozi ya bando lililo juu juu angani, yani haya maumivu ya bando ni zaidi na sindano ikipita kwenye ukucha.

Nirudi kwenye mada, leo sina hili wala lile, naamka zangu baada ya uchovu wa jana, kama kawaida kabla sijatoa kongoro zangu kitandani nakagua simu kwanza, nkaona kameseji toka tigo pesa.

Ile naipitia juu juu naona nmepewa buree, rudia buree unit za umeme 30!! Mubarikiwe tigo naomba huo moyo wa upendo muendelee kuwa nao leo na kesho na keshokutwa...

#TigoMtabakiKuaJuuu!!!!
 
Attachments

  • 2756823_JamiiForums-1851313687.gif
    2756823_JamiiForums-1851313687.gif
    488.3 KB · Views: 4
Tigo mtabaki kuwa juu, juu mbinguni yani leo mmejua kunifuta machozi ya bando lililo juu juu angani, yani haya maumivu ya bando ni zaidi na sindano ikipita kwenye ukucha.

Nirudi kwenye mada, leo sina hili wala lile, naamka zangu baada ya uchovu wa jana, kama kawaida kabla sijatoa kongoro zangu kitandani nakagua simu kwanza, nkaona kameseji toka tigo pesa.

Ile naipitia juu juu naona nmepewa buree, rudia buree unit za umeme 30!! Mubarikiwe tigo naomba huo moyo wa upendo muendelee kuwa nao leo na kesho na keshokutwa...

#TigoMtabakiKuaJuuu!!!!
Tigo tena🤣🤣🤣🥱🥱🥱
 
Itakua Kuna mtu kanunua umeme Kwa tigopesa kakosea kaingiza meter number Yako.
hata akikosea mita sms ya luku ataipata kwa namba iliyotumika kununua sio ninunue kwenye simu yangu hlf atumiwe mwingne
 
Mbombo jilipo, basi hapo sinabudi kuungana na wananzengo walioangazia suala Zima la kamba na bidhaa ya Mufindi..

Vinginevyo, tigo wawe smart kiasi Cha kuangalia activity mojawapo ulizofanya na kukuzawadia huo muamala. Mfano kama alininua umeme huko nyuma waamue kumpa bkakshish ( yaani badala ya muda wa maongezi, bundle au salio Kwa tigopesa) wamekua waungwana kiasi Cha kugawa umeme....
 
Back
Top Bottom