TIGO wamenitapeli? Hakikai sitokubali.

TIGO wamenitapeli? Hakikai sitokubali.

MAMBO MENGINE YA KUJITAKIA KABISA. BADO HATUJAFIKIA KIUFANISI KUFANYA MAMBO MENGI KWA NJIA YA DIJITARI, SIKU NYINGINE KAKATE STENDI MKUU
Ni kwa TIGO tu siku hiyo hiyo nilifanya malipo kwa Voda haikuchukua hata sekunde kumi nikawa nimemaliza na ticket yangu kutumiwa
 
Rudi na barua ya mwanasheria tuu
Nadhani Hadi Sasa ameshatumia gharama kubwa na muda mwingi kuliko hela anayoidai.
Hawa tigo wamezoea kupiga hela za wateja maana wanaofatilia ni wachache. Kuna siku nilimchukua rafiki yangu baada ya kuzungushwa 200k kwa wiki tatu nikaenda nae kwa mhasibu nikasema nimekuja na polisi kuchukua maelezo yenu maana pesa yangu hamtaki kurudisha Leo wiki ya tatu Kila siku mnasema masaa 72.
Meneja kapaniki nikarudishiwa muamala wangu palepale.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Araah kuumbee ni mpaka tuoneshane ukali kidogo? Mkuu nikienda oficin kwao niombe kuonana na muhasibu si ndio?
 
Araah kuumbee ni mpaka tuoneshane ukali kidogo? Mkuu nikienda oficin kwao niombe kuonana na muhasibu si ndio?
Ndiyo, wao ndo walisema kwamba pesa iko kwenye account na mhasibu tayari ana orodha kwenye meza yake ya wateja wote wanaotakiwa kurudishiwa miamala yao kwa hiyo anashughulikia hivyo ikawa Kila nikienda naambiwa masaa 72 hii ni baada ya customer care kujua anaewasumbua ni Nani na wakaacha kupokea sm yangu.
Kuna majizi mle na utafuatilia Hadi upate hasara ya nauli na muda.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mshana nimeifuatilia Sana hii pesa mpaka Ile Hali ya uvumilivu inafika kikomo.
Kama nitafika mpaka HQ kwa Mara nyingine Tena inamana naenda kuambulia masaa 24 Tena au 72 Kama mwanzo?
HQ hawana msaada zaidi ya kulipeleka swala lako CC na kama hapo kuna kulindana utapata tabu sana
 
HQ hawana msaada zaidi ya kulipeleka swala lako CC na kama hapo kuna kulindana utapata tabu sana
KaMa ningekuwa na mwanasheria au ningekuwa na ielewa kuhusu Sheria kwenye hili jambo nadhani ningedai kafidia kadogo tu.
 
UKIFATA NJIA NDEFU kuna process aisee!

Waandikie barua walazimishe wakujibu na walimalize tatizo lako (kuna muda unaowabana ambao ni lazima wakujibu barua yako au wamalize tatizo lako).
Hakisha copy ya barua yako ina contact zako ambazo zinapatikana.
Hakikisha barua inapigwa muhuri ukishapeleka pale kwao.
Utasubiri mwezi, wasipotatua au kujibu, andika barua TCRA (barua zote kwa mkurugenzi) ambatanisha na ile copy ya tigo.
TCRA watawaita ninyi wote, wewe na tigo ila utalipwa gharama zako tu kwa sababu wao watakuwa kama wasuluhishi wa amani kati ya mtoa huduma na mlaji.
 
Mimi naomba isije ikawa ni ticket ya Dar to Mlandizi ndio unayolalamikia Mkuu?

Mkuu kwani hujawahi toa SADAKA au kudondosha au kupoteza tu hela wewe binafsi?

najua umewahi hebu wapotezee,shika laini yao Tafuna kisha piga Kifua wambie Halotel,nmekuja kwenu nipokeeni mimi n mgeni wenu sasa!
 
KaMa ningekuwa na mwanasheria au ningekuwa na ielewa kuhusu Sheria kwenye hili jambo nadhani ningedai kafidia kadogo tu.
Kila ukienda nakili gharama na muda uliotumia.. Kila wanachokwambia kiandike..
 
Ahsanteni sana, nimepata mawazo mazuri....wamelamba zaidi ya 600k yangu na wamenipa masaa 24....asubuhi hii naanza na mwanasheria....watalipa gharama zote....Thanks JF
 
Back
Top Bottom