Ni kwa TIGO tu siku hiyo hiyo nilifanya malipo kwa Voda haikuchukua hata sekunde kumi nikawa nimemaliza na ticket yangu kutumiwaMAMBO MENGINE YA KUJITAKIA KABISA. BADO HATUJAFIKIA KIUFANISI KUFANYA MAMBO MENGI KWA NJIA YA DIJITARI, SIKU NYINGINE KAKATE STENDI MKUU
Nadhani Hadi Sasa ameshatumia gharama kubwa na muda mwingi kuliko hela anayoidai.Rudi na barua ya mwanasheria tuu
Araah kuumbee ni mpaka tuoneshane ukali kidogo? Mkuu nikienda oficin kwao niombe kuonana na muhasibu si ndio?Nadhani Hadi Sasa ameshatumia gharama kubwa na muda mwingi kuliko hela anayoidai.
Hawa tigo wamezoea kupiga hela za wateja maana wanaofatilia ni wachache. Kuna siku nilimchukua rafiki yangu baada ya kuzungushwa 200k kwa wiki tatu nikaenda nae kwa mhasibu nikasema nimekuja na polisi kuchukua maelezo yenu maana pesa yangu hamtaki kurudisha Leo wiki ya tatu Kila siku mnasema masaa 72.
Meneja kapaniki nikarudishiwa muamala wangu palepale.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ndiyo, wao ndo walisema kwamba pesa iko kwenye account na mhasibu tayari ana orodha kwenye meza yake ya wateja wote wanaotakiwa kurudishiwa miamala yao kwa hiyo anashughulikia hivyo ikawa Kila nikienda naambiwa masaa 72 hii ni baada ya customer care kujua anaewasumbua ni Nani na wakaacha kupokea sm yangu.Araah kuumbee ni mpaka tuoneshane ukali kidogo? Mkuu nikienda oficin kwao niombe kuonana na muhasibu si ndio?
HQ hawana msaada zaidi ya kulipeleka swala lako CC na kama hapo kuna kulindana utapata tabu sanaMkuu mshana nimeifuatilia Sana hii pesa mpaka Ile Hali ya uvumilivu inafika kikomo.
Kama nitafika mpaka HQ kwa Mara nyingine Tena inamana naenda kuambulia masaa 24 Tena au 72 Kama mwanzo?
Sio kama wao ndio wasumbufuLeo baada yakutumia number nyingine wameniambia acha usumbifu😂😂😂😂
Kila ukienda nakili gharama na muda uliotumia.. Kila wanachokwambia kiandike..KaMa ningekuwa na mwanasheria au ningekuwa na ielewa kuhusu Sheria kwenye hili jambo nadhani ningedai kafidia kadogo tu.
Nenda LATRA wao ni wahusika wa mfumo wa ununuaji tikiti za mabasi.Naanzia wapi mkuu?