Tigo wameshusha bei sasa ni 600k, niwaombe tu wazee wa snapdragon mtupishe kidogo au piteni kimya kimya

Tigo wameshusha bei sasa ni 600k, niwaombe tu wazee wa snapdragon mtupishe kidogo au piteni kimya kimya

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Hi.
Hii simu ina baadhi ya feature za high-end now tigo wanaiuza kwa 600k bei sio mbaya ukilinganisha na simu yenyewe
FB_IMG_1663590901307.jpg
 
Kiukwel Techno/infinix niko nazo mbalimbali sinaga mahaba nazo

Yaan nazitumia nikiwa sina hela ya kununua simu ya maana

Nisameheni lakini wapenzi wa hizo simu.
 
Hii simu sio ya kuuzwa laki sita chipset yake kubwa sana 12nm alaf wanaweka ram 8 😳
 
Back
Top Bottom