Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao.
Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma.
Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi.
Unakuta mtu ulikuwa na mambo yako ya msingi ya kufanya lakini unapata hasara kwa sababu ya huu kila mwezi unapata hitilafu.
Utatuma pesa haiziendi mahali husika, wanakuambia subiri masaa 24 alafu hata siku 10 hadi 12 ndiyo wanakuja kuirudisha pesa.
Huu ni usumbufu wa kiwango cha juu na napendekeza huu mtandao ufutiwe leseni kabisa wakafanye shughuli nyingine wanazoziweza. 😡😡😡😡