Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Vijana wakiwa wanatafuta uzoefu mnawaponda afu kwenye kazi mnataka vijana wenye miaka 25 na uzoefu wa miaka 20.Kampuni imejaza interns kama 1000, unategemea nini..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wakiwa wanatafuta uzoefu mnawaponda afu kwenye kazi mnataka vijana wenye miaka 25 na uzoefu wa miaka 20.Kampuni imejaza interns kama 1000, unategemea nini..?
Kati ya vitu ngumu huwa na hiyo kwangu.Badilli mtandao ndugu, mitandaoni ipo msingi we mwenye we unajuwa. Kwanini fedha zako na bado zikutese.
Tena uipatie siku za weekend 🔥🔥Tigo tamu bana
Una access ya miamala yangu, au ndiyo uropokaji ni kipaji chako kama mwehuMuamala wako wa buku mbili ndio kampuni ifungwe 😂 em kuwa serious
Nimeipenda hii 😍Una access ya miamala yangu, au ndiyo uropokaji ni kipaji chako kama mwehu
Labda hujanielewa ila mimi sijapinga. Nilikuwa naonyesha tu outcomes za kujaza interns wengi.Vijana wakiwa wanatafuta uzoefu mnawaponda afu kwenye kazi mnataka vijana wenye miaka 25 na uzoefu wa miaka 20.
Kabla hawajaufunga fungua wako tupate mbadala
Muamala wako wa buku mbili ndio kampuni ifungwe 😂 em kuwa serious
Muamala wako wa buku mbili ndio kampuni ifungwe 😂 em kuwa serious
Ona hii mitheenge inayokaa kwa shemeji zao!!Kabla hawajaufunga fungua wako tupate mbadala
unaweza hama mtandao kuhamia mwingine kwa namba hiyo hiyo yote kuanzia tarakimu ya kwanza mpaka ya mwisho.Kati ya vitu ngumu huwa na hiyo kwangu.
Imagine umetumia laini miaka 15, watu wako wa maana kabisa wanakujua kwa hiyo laini moja tu, alafu nije nibadili leo, nitapoteza vingi sana
Imesimama njoo ukalieOna hii mitheenge inayokaa kwa shemeji zao!!
Kumbe, ebu nipe ufafanuzi basi nafanyaje fanyajeunaweza hama mtandao kuhamia mwingine kwa namba hiyo hiyo yote kuanzia tarakimu ya kwanza mpaka ya mwisho.
Pole sana mitandao sikuhizi changamoto sana
Tena Daslamu wanapenda kutumia tigo balaa!