Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Acha ujinga . Huo mtandao haupo leo we chawa wa tigoAcha udwanzi, watu tunatumia tigo kila leo, hakuna mtandao bora kwa malipo na miamala kama tigo, suala la leo jioni kutofanya kazi inatokea kwa mtandao wowote.
Acha ujinga . Huo mtandao haupo leo we chawa wa tigo
Wiki ya pili data ni za kusua sua hadi sasa najua majina ya customer care wao wote maana kwa siku nitapiga zaidi ya mara tatu kwa kujosa data servicesAcha udwanzi, watu tunatumia tigo kila leo, hakuna mtandao bora kwa malipo na miamala kama tigo, suala la leo jioni kutofanya kazi inatokea kwa mtandao wowote.
Ila tigo wamezidi, nime upgrade to the new version sasa hivi inafunguka na kujifungaAcha udwanzi, watu tunatumia tigo kila leo, hakuna mtandao bora kwa malipo na miamala kama tigo, suala la leo jioni kutofanya kazi inatokea kwa mtandao wowote.
Wiki ya pili data ni za kusua sua hadi sasa najua majina ya customer care wao wote maana kwa siku nitapiga zaidi ya mara tatu kwa kujosa data services
Kibaya zaidi inatu cost sisi tunao tumiaga laini moja tuTigo ni Changamoto Sana
Unaweza kuuliza Salio tu wakakutumia sms kesho yake
Usijaribu kununua luku unaweza lala Giza sio mara moja tumelala Giza Bora uhamishe hela Voda ununulie huko
Kiukweli wasipoboresha HUDUMA zao walekea kubaya