Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana.
Mimi nina ka kabiashara kangu ambapo pia nimeweka uwakala wa Tigopesa na mitandao mingine. Mke wangu anasimamia hako ka biashara, hata line za mitandao za pesa kasajili kwa jina lake.
Jana kaja mteja wa kiume kutoa pesa, katoa kama kawaida na jina likatoka la kike.
Baada ya dakika kadhaa wakala akapokea sms toka tigo kuwa muamala aliofanya umesitishwa. Akapiga simu tigo kuuliza akaambiwa kweli aliyetoa pesa kasitisha muamala, hivyo asubiri baada ya masaa 24 watasikiliza pande zote mbili kujua nani ana uhalali.
Mke akasubiri mpaka leo hii, alipopiga simu akaambiwa mbona huo muamala umesharudishwa kwa mteja aliyeusitisha!!
Ikabidi aende ofisi za tigo Mbagala Zakhem kwa kuwa ofisi ipo Mbande wilaya ya temeke, amefika pale mtumishi wa tigo anamjibu eti "ulipaswa umuangalie aliyetoa kama ndiye mwenyewe", really?
Mimi nikafuatilia kwenye ofisi zingine za tigo nikaambiwa kuwa kwa kawaida muamala wenye utata huwa unasitishwa lkn haupelekwi popote mpaka wahusika waitwe, wasikilzwe, uangaliwe mnara unaosoma kwa wakala je ni huo huo ndipo muamala umefanyika au la, na kama ni huo huo bna pesa ilitolewa kihalali, basi wakala anapewa pesa zake.
Mnara unaosoma ni mmoja, wahusika hawajaitwa wote kusikilizwa, badala yake tigo wanaruhusu pesa kurudi kwa mtu aliyetoa!!!
Maana yake sasa mawakala watakuwa wanatapeliwa kwa sababu kila mtu atatoa pesa kwa wakala alafu anausitisha muamala.
Ninachokiona hapa mtumishi wa tigo ameshirikiana na matapeli kututapeli kwa sababu hakufuata protocol za kazi yake.
Hili suala litafika mpaka TCRA kama tigo hatarudisha muamala wetu japo ni wa 120k tu, lkn hiyo ndiyo faida yenyewe.
90% tu?Ni kweli tigo watumishi wake asilimia 90 ni majizi
UsiendenTCRA nenda bot wao ndio wanatoa leseni za huduma za kifedha.Wanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana.
Mimi nina ka kabiashara kangu ambapo pia nimeweka uwakala wa Tigopesa na mitandao mingine. Mke wangu anasimamia hako ka biashara, hata line za mitandao za pesa kasajili kwa jina lake.
Jana kaja mteja wa kiume kutoa pesa, katoa kama kawaida na jina likatoka la kike.
Baada ya dakika kadhaa wakala akapokea sms toka tigo kuwa muamala aliofanya umesitishwa. Akapiga simu tigo kuuliza akaambiwa kweli aliyetoa pesa kasitisha muamala, hivyo asubiri baada ya masaa 24 watasikiliza pande zote mbili kujua nani ana uhalali.
Mke akasubiri mpaka leo hii, alipopiga simu akaambiwa mbona huo muamala umesharudishwa kwa mteja aliyeusitisha!!
Ikabidi aende ofisi za tigo Mbagala Zakhem kwa kuwa ofisi ipo Mbande wilaya ya temeke, amefika pale mtumishi wa tigo anamjibu eti "ulipaswa umuangalie aliyetoa kama ndiye mwenyewe", really?
Mimi nikafuatilia kwenye ofisi zingine za tigo nikaambiwa kuwa kwa kawaida muamala wenye utata huwa unasitishwa lkn haupelekwi popote mpaka wahusika waitwe, wasikilzwe, uangaliwe mnara unaosoma kwa wakala je ni huo huo ndipo muamala umefanyika au la, na kama ni huo huo bna pesa ilitolewa kihalali, basi wakala anapewa pesa zake.
Mnara unaosoma ni mmoja, wahusika hawajaitwa wote kusikilizwa, badala yake tigo wanaruhusu pesa kurudi kwa mtu aliyetoa!!!
Maana yake sasa mawakala watakuwa wanatapeliwa kwa sababu kila mtu atatoa pesa kwa wakala alafu anausitisha muamala.
Ninachokiona hapa mtumishi wa tigo ameshirikiana na matapeli kututapeli kwa sababu hakufuata protocol za kazi yake.
Hili suala litafika mpaka TCRA kama tigo hatarudisha muamala wetu japo ni wa 120k tu, lkn hiyo ndiyo faida yenyewe.
Mi nitaachana na tigo pesa. Sijui mamlaka hazioni hii loophole ya wizi inayofanywa na tigo? Muamala uliotolewa kwa wakala usirudishwe mpaka wakala apigiwe aitwe akatoe scenario ya huo muamala. Sasa matapeli wanaonekana kuwa na upper hand kwa kusaidiwa na TigoWw sio wa kwanza kuna mtu huku alitoa pesa 300k kwa wakala kisha akaomba muamala urudishwe baada ya dkk 50+ na kumbe aliyetoa alituma namba kwabm2 mkoani akifanya kama anatoa na kumbe aliyetoa yuko mkoani. Sasa yule wakala akabadirisha ile hela kwa wakala mkuu akapata mtandao mwingine. Ile baadaye anaona txt muamala fulani umezuiwa na mtoaji ameomba urejeshwe wkt huo account ya tigopesa ya wakala ikiwa na elf 12 hv. Basi tigo ikalamba ile 12k kishaikafunga namba ya wakala haipokei simu na anaambiwa bado anadaiwa, sms zinamfikia ila eti simu wamefunga kwa huyu wakala.
Sasa najiuliza
Muamala uliotolewa ni 300k, ila tigo wamechukua 12k ambayo ni salio la wakala. Kwanini wafunge wakala line yake isipokee simu, 2kwanini wasitume ujumbe wakala kwenda kuripoti.
Kwa hesabunza haraka huyu wakala ilikuwa aliwe 312k ila kwakuwa ile 300k tyr alikuwa ameshaitoa tigo wakaamua kumchomolea 12k . Tuseme wakala katapeliwa 12k kutoka katika muamala wa 300k kwa ushirikiano wa tigo na matapeli wa2.
Biashara ya tigopesa kumbe ni ngumu
Fatilia mkuu mpaka mwishoWanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana.
Mimi nina ka kabiashara kangu ambapo pia nimeweka uwakala wa Tigopesa na mitandao mingine. Mke wangu anasimamia hako ka biashara, hata line za mitandao za pesa kasajili kwa jina lake.
Jana kaja mteja wa kiume kutoa pesa, katoa kama kawaida na jina likatoka la kike.
Baada ya dakika kadhaa wakala akapokea sms toka tigo kuwa muamala aliofanya umesitishwa. Akapiga simu tigo kuuliza akaambiwa kweli aliyetoa pesa kasitisha muamala, hivyo asubiri baada ya masaa 24 watasikiliza pande zote mbili kujua nani ana uhalali.
Mke akasubiri mpaka leo hii, alipopiga simu akaambiwa mbona huo muamala umesharudishwa kwa mteja aliyeusitisha!!
Ikabidi aende ofisi za tigo Mbagala Zakhem kwa kuwa ofisi ipo Mbande wilaya ya temeke, amefika pale mtumishi wa tigo anamjibu eti "ulipaswa umuangalie aliyetoa kama ndiye mwenyewe", really?
Mimi nikafuatilia kwenye ofisi zingine za tigo nikaambiwa kuwa kwa kawaida muamala wenye utata huwa unasitishwa lkn haupelekwi popote mpaka wahusika waitwe, wasikilzwe, uangaliwe mnara unaosoma kwa wakala je ni huo huo ndipo muamala umefanyika au la, na kama ni huo huo bna pesa ilitolewa kihalali, basi wakala anapewa pesa zake.
Mnara unaosoma ni mmoja, wahusika hawajaitwa wote kusikilizwa, badala yake tigo wanaruhusu pesa kurudi kwa mtu aliyetoa!!!
Maana yake sasa mawakala watakuwa wanatapeliwa kwa sababu kila mtu atatoa pesa kwa wakala alafu anausitisha muamala.
Ninachokiona hapa mtumishi wa tigo ameshirikiana na matapeli kututapeli kwa sababu hakufuata protocol za kazi yake.
Hili suala litafika mpaka TCRA kama tigo hatarudisha muamala wetu japo ni wa 120k tu, lkn hiyo ndiyo faida yenyewe.
Wanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana.
Mimi nina ka kabiashara kangu ambapo pia nimeweka uwakala wa Tigopesa na mitandao mingine. Mke wangu anasimamia hako ka biashara, hata line za mitandao za pesa kasajili kwa jina lake.
Jana kaja mteja wa kiume kutoa pesa, katoa kama kawaida na jina likatoka la kike.
Baada ya dakika kadhaa wakala akapokea sms toka tigo kuwa muamala aliofanya umesitishwa. Akapiga simu tigo kuuliza akaambiwa kweli aliyetoa pesa kasitisha muamala, hivyo asubiri baada ya masaa 24 watasikiliza pande zote mbili kujua nani ana uhalali.
Mke akasubiri mpaka leo hii, alipopiga simu akaambiwa mbona huo muamala umesharudishwa kwa mteja aliyeusitisha!!
Ikabidi aende ofisi za tigo Mbagala Zakhem kwa kuwa ofisi ipo Mbande wilaya ya temeke, amefika pale mtumishi wa tigo anamjibu eti "ulipaswa umuangalie aliyetoa kama ndiye mwenyewe", really?
Mimi nikafuatilia kwenye ofisi zingine za tigo nikaambiwa kuwa kwa kawaida muamala wenye utata huwa unasitishwa lkn haupelekwi popote mpaka wahusika waitwe, wasikilzwe, uangaliwe mnara unaosoma kwa wakala je ni huo huo ndipo muamala umefanyika au la, na kama ni huo huo bna pesa ilitolewa kihalali, basi wakala anapewa pesa zake.
Mnara unaosoma ni mmoja, wahusika hawajaitwa wote kusikilizwa, badala yake tigo wanaruhusu pesa kurudi kwa mtu aliyetoa!!!
Maana yake sasa mawakala watakuwa wanatapeliwa kwa sababu kila mtu atatoa pesa kwa wakala alafu anausitisha muamala.
Ninachokiona hapa mtumishi wa tigo ameshirikiana na matapeli kututapeli kwa sababu hakufuata protocol za kazi yake.
Hili suala litafika mpaka TCRA kama tigo hatarudisha muamala wetu japo ni wa 120k tu, lkn hiyo ndiyo faida yenyewe.
mimi nilikuwa na laini yatigo,lakini nimeachana nayo!!Wanajamvi, naandika uzi huu nikiwa na hasira kali sana.