Tigo yawatega Washindani wake

Tigo yawatega Washindani wake

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,197
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana msamiati wa kuendana na jazwa ujazwe. MwanaJF kama unaweza saidia kuwapa msamiati utakaoleta ushindani kwa tigo. Tiririka hapa chini
 
Tigo Walianzisha *Halichachi*

Airtel Wakaiga *Hatupimi*

Voda Wakaiga *Haliishi*

Sasa Hivi Tigo Wameanzisha *JAZA UJAZWE*

Halotel na Wao Wameiga *INGIZA UINGIZWE[emoji23][emoji23][emoji23]*

Airtel na Wao Washaiga *RAMBA URAMBWE[emoji23][emoji23][emoji23]*

Vodacom na Wao Washaiga *TIA UTIWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

*[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi Ujinga mm*‍♂‍♂‍♂
 
Unazngua ujue
 
Back
Top Bottom