Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaPakua upakuliwe.
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana msamiati wa kuendana na jazwa ujazwe. MwanaJF kama unaweza saidia kuwapa msamiati utakaoleta ushindani kwa tigo. Tiririka hapa chini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tigo Walianzisha *Halichachi*
Airtel Wakaiga *Hatupimi*
Voda Wakaiga *Haliishi*
Sasa Hivi Tigo Wameanzisha *JAZA UJAZWE*
Halotel na Wao Wameiga *INGIZA UINGIZWE[emoji23][emoji23][emoji23]*
Airtel na Wao Washaiga *RAMBA URAMBWE[emoji23][emoji23][emoji23]*
Vodacom na Wao Washaiga *TIA UTIWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
*[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hapa Nilipo Naenda Kusajir Lain ya ZANTEL Maana Sipendagi Ujinga mm*♂♂♂
INGIZWA UINGIZWE
RAMBA URAMBWE
TIWA UTIWE
mmmh
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ingiza Uingizwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Pakua upakuliwe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Chomeka uchomekwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]🙂 🙂 bandua ubanduliwe
ingiza uingiziwe[emoji16]
Pakua upakuliwe.
Kwangua ukwanguliwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingiza Uingizwe