Tigo yawatega Washindani wake

Tigo yawatega Washindani wake

Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana msamiati wa kuendana na jazwa ujazwe. MwanaJF kama unaweza saidia kuwapa msamiati utakaoleta ushindani kwa tigo. Tiririka hapa chini
Weka uwekwe au tia usiwe. Ah, ipo mingi tu mkuu! Acha kabisa.
 
743c6677dccdc5f1a4d840240fbf8f43.jpg



[emoji12] [emoji12]
Mxtha fxcka...
 
Back
Top Bottom