hahaha, unanikumbusha siku moja nilikuwa nasafikri kutoka Dar kwenda Tunduma mbeya, aisee, nilisafikri na wasomali karibia nane hivi, nikakaa nao. walikuwa wanaongea kilugha chao walikuwa wanashukia pale uyole ili waende malawi. ilikuwa familia moja kuuubwa, mmoja wao alikuwa amevaa kama sheehee, yaani kavaa kanzu. sasa gari ikasimama, akawa anataka kuchimba dawa na dawa yenyewe sio vimaji, ni magogo..hahaha. yule ustaaz alienda porini, hakuna wala na kopo la maji ya uhai alilonunua njiani, alikata gogo akarudi na harufu kwenye gari..hahaha. ilinitia kichefuchefu sana.
nafikiri kuna umuhimu kila basi hakuna kusimama kuchimba dawa hadi watu wafike kwenye kiguo kuzuri chenye choo na maji, ili watu wasirudi na nnya kwenye makalio.