tiGO!

tiGO!

GP

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
2,049
Reaction score
161
wale watumiaji wa ule mtandao wetu maarufu wa kujiexpress, tiGO!, inasemekana ndio mnaoongoza kwa kukata gogo vichakani kwa muda mrefu mpaka mnaachwa na mabasi tena mnakurupuka mnavaa nguo hata hamjitawazi!
sasa ukiwa mtumiaji wa tiGO au kama sio mtumiaji, una maoni gani juu ya huu mtandao wa kujiexpress??
 
hamuelewi nini?
toa maoni yako like upigwe marufuku labda unaharibu mazingira etc
 
... inatakiwa na mitandao mingine wawe incouraged kufanya hivyo kwani hiyo itaongeza rutba hasa kwa mimea iliyosahaulika kama hiyo ya barabarani....
 
... inatakiwa na mitandao mingine wawe incouraged kufanya hivyo kwani hiyo itaongeza rutba hasa kwa mimea iliyosahaulika kama hiyo ya barabarani....

safi sana mkuu, nakupa gwala, nitaforwad kunakohusika!.
tunahitaji mbolea kwa wingi sana maporini huko
icon10.gif
 
Isije ikawa wengine wanafanya PR kwenye makampuni ya simu kwa mtindo huo. Kuishambulia kampuni ya TIGO kiasi hicho inaonesha labda mwenzetu ni beneficiary wa mtandao mwingine. I want to believe that you are doing purposeful efforts to turnish the reputation of this company. That is unethical and poor PR!
 
toa maoni yako wewe, wacha hizo.!
 
Duh Jamaa kawadhalilisha kweli nyie mnaotumia huu mtandao
Aibu, vichakani, tena hamtawazi. Duh hii kali kweli
Mie simo, nimepita tu hapa kucheka
 
wale watumiaji wa ule mtandao wetu maarufu wa kujiexpress, tiGO!, inasemekana ndio mnaoongoza kwa kukata gogo vichakani kwa muda mrefu mpaka mnaachwa na mabasi tena mnakurupuka mnavaa nguo hata hamjitawazi!
sasa ukiwa mtumiaji wa tiGO au kama sio mtumiaji, una maoni gani juu ya huu mtandao wa kujiexpress??

Mbona hueleweki na ki mtizamo?
 
hahaha, unanikumbusha siku moja nilikuwa nasafikri kutoka Dar kwenda Tunduma mbeya, aisee, nilisafikri na wasomali karibia nane hivi, nikakaa nao. walikuwa wanaongea kilugha chao walikuwa wanashukia pale uyole ili waende malawi. ilikuwa familia moja kuuubwa, mmoja wao alikuwa amevaa kama sheehee, yaani kavaa kanzu. sasa gari ikasimama, akawa anataka kuchimba dawa na dawa yenyewe sio vimaji, ni magogo..hahaha. yule ustaaz alienda porini, hakuna wala na kopo la maji ya uhai alilonunua njiani, alikata gogo akarudi na harufu kwenye gari..hahaha. ilinitia kichefuchefu sana.

nafikiri kuna umuhimu kila basi hakuna kusimama kuchimba dawa hadi watu wafike kwenye kiguo kuzuri chenye choo na maji, ili watu wasirudi na nnya kwenye makalio.
 
Nilishasema kampuni hii ni ya ovyo angalia hata matangazo yao,ni kama matangazo la benki ya posta kila kukicha kusaidia watu barabarani ambayo haihusiani na kazi za kibenki na hainishawishi kuweka amana yangu kwao.
 
Back
Top Bottom