Tigo_sms za kamali tumezichoka

Tigo_sms za kamali tumezichoka

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Kwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa.
Kwangu imekuwa kero kubwa sana, inafika wakati unatumiwa sms ya muhimu lakini unaidharau kwa kuwa akili ishajengeka ni sms ya kamali.

USHAURI WANGU KWA KAMPUNI YA TIGO.
Si wananchi wote wanacheza hizo kamali, wafanye tafiti zao ili wawasajiri na wawatumie sms hao wateja wao ambao wanacheza hiyo michezo ya kamali
FB_IMG_1548772431633.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa.
Kwangu imekuwa kero kubwa sana, inafika wakati unatumiwa sms ya muhimu lakini unaidharau kwa kuwa akili ishajengeka ni sms ya kamali.

USHAURI WANGU KWA KAMPUNI YA TIGO.
Si wananchi wote wanacheza hizo kamali, wafanye tafiti zao ili wawasajiri na wawatumie sms hao wateja wao ambao wanacheza hiyo michezo ya kamaliView attachment 1008406

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni meneja wa Tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sizipendi kweli sijui nifanyeje ili nisizipate maana sometimes uko busy na mambo ya msingi unakimbilia simu tigo msg...shwain kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa.
Kwangu imekuwa kero kubwa sana, inafika wakati unatumiwa sms ya muhimu lakini unaidharau kwa kuwa akili ishajengeka ni sms ya kamali.

USHAURI WANGU KWA KAMPUNI YA TIGO.
Si wananchi wote wanacheza hizo kamali, wafanye tafiti zao ili wawasajiri na wawatumie sms hao wateja wao ambao wanacheza hiyo michezo ya kamaliView attachment 1008406

Sent using Jamii Forums mobile app
hata Vodacom mkuu..zinakera sana yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani ukicheza kamari unakamatwa ..
ila siku hizi unaambiwa ukishinda. Tanzania inashinda!..
 
Kwa kweli hao tigo wana sms nyingi za kukera mara magic voice, tumia app, michezo ya kamari yaani ili mradi vurugu tu

Mi natafuta pa kuanzia nikawashitaki maana ishakuwa kero mpaka saa nane usiku wanatuma sijui wanataka kuaribu ndoa za watu
 
Back
Top Bottom