Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Kwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa.
Kwangu imekuwa kero kubwa sana, inafika wakati unatumiwa sms ya muhimu lakini unaidharau kwa kuwa akili ishajengeka ni sms ya kamali.
USHAURI WANGU KWA KAMPUNI YA TIGO.
Si wananchi wote wanacheza hizo kamali, wafanye tafiti zao ili wawasajiri na wawatumie sms hao wateja wao ambao wanacheza hiyo michezo ya kamali
Sent using Jamii Forums mobile app