Huyo ni meneja wa TigoKwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa.
Kwangu imekuwa kero kubwa sana, inafika wakati unatumiwa sms ya muhimu lakini unaidharau kwa kuwa akili ishajengeka ni sms ya kamali.
USHAURI WANGU KWA KAMPUNI YA TIGO.
Si wananchi wote wanacheza hizo kamali, wafanye tafiti zao ili wawasajiri na wawatumie sms hao wateja wao ambao wanacheza hiyo michezo ya kamaliView attachment 1008406
Sent using Jamii Forums mobile app
hata Vodacom mkuu..zinakera sana yanKwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa.
Kwangu imekuwa kero kubwa sana, inafika wakati unatumiwa sms ya muhimu lakini unaidharau kwa kuwa akili ishajengeka ni sms ya kamali.
USHAURI WANGU KWA KAMPUNI YA TIGO.
Si wananchi wote wanacheza hizo kamali, wafanye tafiti zao ili wawasajiri na wawatumie sms hao wateja wao ambao wanacheza hiyo michezo ya kamaliView attachment 1008406
Sent using Jamii Forums mobile app
yapo mkuu...biko..sportpesaSi serikali imepiga marufuku haya matangazo mi sijayapata now nadhan toka tangazo litoke via Vodacom
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha
KINARA,bima mkononiKwa kweli hao tigo wana sms nyingi za kukera mara magic voice, tumia app, michezo ya kamari yaani ili mradi vurugu tu
Kwa kweli hao tigo wana sms nyingi za kukera mara magic voice, tumia app, michezo ya kamari yaani ili mradi vurugu tu