D Dhwahiri Member Joined Jun 20, 2016 Posts 16 Reaction score 5 Jul 16, 2016 #1 Ninaomba ufafanuzi wa kupata comission ukiwa wakala wa huduma hizi.Kama Kuna calculation yoyote ya Namba ya kupata comission.Tafadhali kwa anaefahamu.
Ninaomba ufafanuzi wa kupata comission ukiwa wakala wa huduma hizi.Kama Kuna calculation yoyote ya Namba ya kupata comission.Tafadhali kwa anaefahamu.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 16, 2016 #2 Ishakua biashara ya kanisa siku hizi tegemea kubarikiwa tu, labda kama uifanye ili ku maintain wateja kwenye biashara yako nyingine ila usitegemee upate faida huko
Ishakua biashara ya kanisa siku hizi tegemea kubarikiwa tu, labda kama uifanye ili ku maintain wateja kwenye biashara yako nyingine ila usitegemee upate faida huko