TIGOPESA: Imethibitishwa umepokea Taslim 100,000 kutoka kwa....

Wala hata sio wanawake tu,hata wanaume lazima masikio yasimame ukiona hiyo msg

lazima ufikiche macho ikibidi uzime simu uwashe upya uone ni kweli au macho yanajichangnya.

na simu ikiwaka break ya kwanza ni kujua salio limeongezeka au limepungua,yani baaadaaeeee ndio

akili ya kutaka kujua namba iliyotuma ni nani na anatokea wapi ndio inakujaga,hapo nshaenda kuitoa kwa wakala.
 

[emoji28][emoji28][emoji1316][emoji1316]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…