Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hio ndo sms pekee ambayo huwafanya wanawake wafurahi, wahisi wanapendwa sana, wasahau shida za dunia nk. Dada zetu nadanganya??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki kweli kabisa tuache uongo
Inategemea hiyo TIGOPESA imeingia kwa sababu zipi tuache kukatishana tamaa 🤪🤪🤪Umasikini unafanya wanawake kuamini kupewa pesa ni upendo wa dhati!
Umasikini unafanya wanawake kuamini kupewa pesa ni upendo wa dhati!
Nchi za Scandinavia mwanamke ukimpa pesa anaona unamtukana..umemdhalilishaUmasikini unafanya wanawake kuamini kupewa pesa ni upendo wa dhati!
Nipo darisalama,mzee nipande daladala za wapi kudondoka "kidimbwi kibichi" nishauza njugu mawe..daladala za kitunda sio?Hahaha no way
Wala hata sio wanawake tu,hata wanaume lazima masikio yasimame ukiona hiyo msg
lazima ufikiche macho ikibidi uzime simu uwashe upya uone ni kweli au macho yanajichangnya.
na simu ikiwaka break ya kwanza ni kujua salio limeongezeka au limepungua,yani baaadaaeeee ndio
akili ya kutaka kujua namba iliyotuma ni nani na anatokea wapi ndio inakujaga,hapo nshaenda kuitoa kwa wakala.
Nipo darisalama,mzee nipande daladala za wapi kudondoka "kidimbwi kibichi" nishauza njugu mawe..daladala za kitunda sio?
[emoji23][emoji23][emoji23]Poapoa,tukutane hapoPanda za tgta[emoji28]
Haki kweli kabisa tuache uongo
Kwamba mimi siipendi hela eboo!!😅hadi wewe??!