TIGOPESA kwenda benki ada zenu sio rafiki

TIGOPESA kwenda benki ada zenu sio rafiki

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
TIGOPESA mnazingua sana kwenye ada zenu za kuamisha PESA kwenda BENK KAMA NMB.

Yaani ada mnayokata hapo sio rafiki kabisa, na sitegemei kama kuna wateja wanayotumia hii njia na kama wapo basi labda hamuelewi na kama mnaelewa basi wenda huduma za benk zipo mbali na eneo hilo. Kwanini na sema hivi?

Iko hivi:- Kama unataka kuamisha pesa kutoka TIGOPESA TO BENK ada unayokatwa hapo ni MARA TATU ya ada ambayo ungeitumia kutoa na kwenda KUWEKA HIYO PESA KWA WATOA HUDUMA WA BENK HUSIKA.

Mfano
Nina 50,000 kwenye TIGOPESA nataka kuiamishia NMB ACC. TIGOPESA watahitaji ada ya takribani 6000 wakati naweza kuitoa kwa ada ya 2000 na kwenda kuiweka kwa mtoa huduma wa benk husika,. Basi wajalibu hata kuweka bei linganifu kidogo,. kwa mfano ada ya KUTOA 3000 basi ya kuiamisha kwenda BENK iwe hata 3600. NA SIO 9000+

Sijui mnafanya kwa kukomoa?
 
Back
Top Bottom