kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Katiba hii ya 1977 alituachia Baba wa taifa Mwl Nyerere. Kama ni nzuri au mbaya yafaa tujadiliane sote maana nchi ni yetu sote sio ya kikundi kidogo cha watu wanaotaka kutuwakilisha sisi sote. Mwl Nyerere alitamani siasa za China na Soviet kwa wakati ule, je tumevuna nini?. Mchakato wa Katiba hauzi kuwa wa kikundi tu maana sisi wote tumo ndani ya puto hilohilo.
Twendeni polepole kuhóji kama Mwl Nyerere alipatia au alikosea. Kama alipatia alipatia wapi na kama alikosea alikosea wapi na sisi Leo tufanye nn kwa mazIngira yetu ya Sasa.
Kama Kuna mazuri yaende kwa Mwl Nyerere na wenzake na kama nibaya pia yaende kwa Mwl Nyerere na wenzake pia, sio kwa Dr. Samia.