Ibara gani ya katiba Nyerere alionyesha matamanio hayo?Katiba hii ya 1977 alituachia Baba wa taifa Mwl Nyerere. Kama ni nzuri au mbaya yafaa tujadiliane sote maana nchi ni yetu sote sio ya kikundi kidogo cha watu wanaotaka kutuwakilisha sisi sote. Mwl Nyerere alitamani siasa za China na Soviet kwa wakati ule.
Twendeni polepole kuhóji kama alipatia au alikosea. Kama alipatia alipatia wapi na kama alikosea alikosea wapi.
Katiba hii ya 1977 alituachia Baba wa taifa Mwl Nyerere. Kama ni nzuri au mbaya yafaa tujadiliane sote maana nchi ni yetu sote sio ya kikundi kidogo cha watu wanaotaka kutuwakilisha sisi sote. Mwl Nyerere alitamani siasa za China na Soviet kwa wakati ule.

Tusidanganyane aloo, kule China hakuna makanisa Wala misikiti hii iliyojaa kwetu, lakini mbona mambo yao yanakwenda? Huwezi kutumia kanisa au msikiti kama kichaka cha kumtukana Rais.Kwenye swala la dini tunaomba wasiwe wanatumia misaafu wala biblia watumie katiba kama inavyotaka ndio tutajua ulichokiandika.
Muundo huu wa Katiba ambao mnamrundikia Rais nguvu nyingi Mwl Nyerere aliutoa kwa rafiki yake Mao Tsetun wa China, muundo huu uko pia NKorea na u Soviet. Badala ya kujikita na kuangalia kule tulikojikwaa tunahangaika zaidi na huku tulikoangukia. Mfano, Rais Samia hajaongeza wala kupunguza nukta kwenye katiba hii ya Tanzania. Tumeacha kuijadili katiba tunamjadili Rais Samia. Mimi sipendi kufuata mkumbo.Ibara gani ya katiba Nyerere alionyesha matamanio hayo?
Mamlaka hii sio halali kivipi? Kama tunasema mamlaka hii sio halali maana yake tunasema katiba hii pia sio halali, huo ni uhaini kwakuwa Rais Samia alipatikana kupitia Katiba hii. Kuweni makini ndugu zangu ili kuepuka kujamba kwa hasira.Hatuwezi kutii Mamlaka haramu zisizo na uhalali, na kamwe hatutatii Amri yoyote ile ambayo siyo halali.
"When injustice becomes Law resistance becomes duty."
By Thomas Jefferson, a former President of USA.
Naona watu wameacha kabisa kumlaumu Nyerere alieandika na kutuachia Katiba ya hivi badala yake wanamjaribu Rais Samia kuona kama ni Rais au mwanamke.Hatuwezi kutii Mamlaka haramu zisizo na uhalali, na kamwe hatutatii Amri yoyote ile ambayo siyo halali.
"When injustice becomes Law resistance becomes duty."
By Thomas Jefferson, a former President of USA.