hawa sidhani kama walikuwa wakihusiana!Roy keane and roby keane-Epl
oswald Morris ila Henry morris hakusajiliwa simba bali YangaHenry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).
Ni majina tu, hawana uhusiano!Hussein swedi (simba) na Salum swedi (mtibwa)
oswald Morris ila Henry morris hakusajiliwa simba bali Yanga
NO Dwirt York alikuwa anatatoka Trinidad & Tobago while Andy Cole - UingerezaHivi York na Cole wachezaji wa zamani Manchester nao walikuwa ndugu?