Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Henry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).
Oswal moris alitoka prison,akaenda yanga ila henry hajawahi kutoka prison licha ya simba na yanga kumshawishi bila mafanikio nadhani alithamini ajira yake ya uafande
 
Back
Top Bottom