KabisaHivi hawa si ni mtu na mtoto wake
Hawa siyo ndugu.Roy keane and roby keane-Epl
Zamoyon hana undugu na Method bali Filotel na Method Mogela ndio nduguZamoyoni Mogela na Method Mogela
Issa na Kasongo ndio ndugu sio ChinaIssa athumani Yanga,Athumani china simba
Na Emma Peter umemsahau familia ya Tinnoboniface njohole, deo njohole na nico njohole
Peter Tino na Gebo peter
Isa Athumani hakuwa na udugu na Athumani China, bali Issa Athumani alikuwa na udugu na Kassongo AthumaniIssa athumani Yanga,Athumani china simba
Hapo kwa kina Peter umemsahau EmmaPeter Tino na Gebo peter
Issa athumani Yanga,Athumani china simba
Oswal moris alitoka prison,akaenda yanga ila henry hajawahi kutoka prison licha ya simba na yanga kumshawishi bila mafanikio nadhani alithamini ajira yake ya uafandeHenry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).