Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Augustino Peter (Peter Tino)...Sio Costantino Peter.Hapo kwa kina Peter umemsahau Emma
Walikuwa CostanTINO Peter (Peter Tino), Gabriel Peter (Gebo Peter) na Emmanuel Peter (Emma Peter)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Augustino Peter (Peter Tino)...Sio Costantino Peter.Hapo kwa kina Peter umemsahau Emma
Walikuwa CostanTINO Peter (Peter Tino), Gabriel Peter (Gebo Peter) na Emmanuel Peter (Emma Peter)
Pia alikuwepo Mrisho Moshi.Familia ya Mzee Shaaban Moshi: Idd Moshi (Yanga) na Haruna Moshi "Boban"(Simba)
umemuacha mwingine aikuwa akiitwa Mhehe KihweloMwanamtwa kihwelo, Kiwelo Musa, Jammhuri kiwelo na Muhesa kiwelo
siyo ndg ni majina fanana tu!!!!!Zamoyoni Mogela na Method Mogela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wengine mnatia hasira mpaka mtu inabidi ucheke tu!!Juma kaseja na kaseja juma
Sio nduguRoy keane and roby keane-Epl
Nakumbuka huyu Mzee Shaaban Moshi ambaye alikuwa TT wa treni ya abiria reli ya kati. Ila alikuwa na vijana wanne, hapo tumewataja watatu mwingine tumemsahau.Pia alikuwepo Mrisho Moshi.
Mwingine anaitwa Jumanne, ni mfupi hivi kama sikosei alipata nafasi ya jeshi kwenye miaka ya 2008/9 huyu alikuwa anafuatana kuzaliwa na Haruna.Nakumbuka huyu Mzee Shaaban Moshi ambaye alikuwa TT wa treni ya abiria reli ya kati. Ila alikuwa na vijana wanne, hapo tumewataja watatu mwingine tumemsahau.
Huyo Mrisho ndio mkubwa wao,Pia alikuwepo Mrisho Moshi.
Ni kweli kabisa. Ila inaonekana hakubahatika kuvuma nakumbuka karibu familia yote ilikuwa inacheza mpiraMwingine anaitwa Jumanne, ni mfupi hivi kama sikosei alipata nafasi ya jeshi kwenye miaka ya 2008/9 huyu alikuwa anafuatana kuzaliwa na Haruna.
Nami nilishangaa huyu ndugumkuu wana uhusiank hawa wapo watatu mwingine ni Hussein sued watu wa kigoma hawa
Henry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).