Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Hapo kwa kina Peter umemsahau Emma

Walikuwa CostanTINO Peter (Peter Tino), Gabriel Peter (Gebo Peter) na Emmanuel Peter (Emma Peter)
Augustino Peter (Peter Tino)...Sio Costantino Peter.
 
Rio Ferdinand-Man United na mdogo wake Antonio Ferdinand-westham
 
Ndio, wale wachezaji wote ni askari magereza.
 
1.Andrew Ayew na Jordan Ayew
2.Frank De Boer na Ronald De Boer
3.Michael Laudrup na Brian Laudrup
4.Boateng brothers
 
Pia alikuwepo Mrisho Moshi.
Nakumbuka huyu Mzee Shaaban Moshi ambaye alikuwa TT wa treni ya abiria reli ya kati. Ila alikuwa na vijana wanne, hapo tumewataja watatu mwingine tumemsahau.
 
Nakumbuka huyu Mzee Shaaban Moshi ambaye alikuwa TT wa treni ya abiria reli ya kati. Ila alikuwa na vijana wanne, hapo tumewataja watatu mwingine tumemsahau.
Mwingine anaitwa Jumanne, ni mfupi hivi kama sikosei alipata nafasi ya jeshi kwenye miaka ya 2008/9 huyu alikuwa anafuatana kuzaliwa na Haruna.
 
Mwingine anaitwa Jumanne, ni mfupi hivi kama sikosei alipata nafasi ya jeshi kwenye miaka ya 2008/9 huyu alikuwa anafuatana kuzaliwa na Haruna.
Ni kweli kabisa. Ila inaonekana hakubahatika kuvuma nakumbuka karibu familia yote ilikuwa inacheza mpira
 
Henry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).

Henry Morris vs Osward Morris
Osward sasa kocha msaidizi Prison na bado askari!
 
Method Mogela 'Fundi'(Yanga)
Filotey Mogela (Yanga)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…