Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

Sijapitia post zote sijui kama wametajwa hawa..

Taulant Xhaka na Granit Xhaka
Boniventura Kalou na Solomon kalou
John Baraza na Mike Baraza
Balou Cheche na Kipre Cheche
Nestroy kizito na Hassan Kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…