Tetesi ni kua kuelekea mwisho wa mkataba wa udhamini wa miaka mitano kati ya Simba Sc Tanzania na kampuni ya kubet Sportpesa ni kwamba Simba Sc ipo kwenye mazungumzo na TIK TOK kuja kuwa mdhamini mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi.
Upo kwenye kamati ya usajili? Au pesa zinakuhusu kiasi kwamba utoe kauli ya kusajili mchezaji yeyote mkali wakati wapangao matumizi ya pesa wanajulikana