Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,229
Tetesi ni kua kuelekea mwisho wa mkataba wa udhamini wa miaka mitano kati ya Simba Sc Tanzania na kampuni ya kubet Sportpesa ni kwamba Simba Sc ipo kwenye mazungumzo na TIK TOK kuja kuwa mdhamini mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi.