Askari wa miguu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 344
- 124
Ngoja niuboost uzi wako.Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Wanakata some percentwatanirudishia pesa yangu au?
MmmmhHabari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Wenzioo wanaenda pakukatia tkt ongea na mkataji tkt unampooza anambebesha mzigo mtuHabari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Ok asante kwa taarifa acha nifanye hivyoWanakata some percent
Bei hiyo hiyo ndio bei gani?Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
31000 Dar DomBei hiyo hiyo ndio bei gani?
Nimechelewa kuiona hii mkuu nilikuwa nahitaji ila nimeshafanya maamuzi. Nimecheki ya tareh 18 ilikuwa imejaaHabari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Utakuta tiketi yenyewe amekata ya 1,000!Warudishie wanaokata tiketi
Halafu ikaandikwa 31KUtakuta tiketi yenyewe amekata ya 1,000!
Nafikri ungechukua hiyo/hizo tiketi usingetoboa. Maana wanaangalia jina la tiketi na kuoanisha na kitambulisho chako ndio uweze kuscan.Nimechelewa kuiona hii mkuu nilikuwa nahitaji ila nimeshafanya maamuzi. Nimecheki ya tareh 18 ilikuwa imejaa