Tiketi ya Sgr

Tiketi ya Sgr

Askari wa miguu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
344
Reaction score
124
Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
 
Ngoja niuboost uzi wako.
 
Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Mmmmh
 
Wenzioo wanaenda pakukatia tkt ongea na mkataji tkt unampooza anambebesha mzigo mtu
 
Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Bei hiyo hiyo ndio bei gani?
 
Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
Nimechelewa kuiona hii mkuu nilikuwa nahitaji ila nimeshafanya maamuzi. Nimecheki ya tareh 18 ilikuwa imejaa
 
Nafikri ungechukua hiyo/hizo tiketi usingetoboa. Maana wanaangalia jina la tiketi na kuoanisha na kitambulisho chako ndio uweze kuscan.
 
Back
Top Bottom