Tiketi za mchezo wa kesho wa Yanga na Simba, zinauzwa wapi?

Tiketi za mchezo wa kesho wa Yanga na Simba, zinauzwa wapi?

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Kumekuwa na shida sana kuhusu kupata tyiketi ktk mchezo wa watani wa jadi wa Yanga na Simba kiasi cha kuleta mkusanyiko mkubwa sana siku ya mchezo pale tiketi zinapouzwa uwanjani.

TFF watujuze mapema leo kuwa tiketi zinauzwa wapi ili tununue leo Ijumaa kupunguza usumbufu wa kununua kesho uwanjani
 
Mechi ilopita ya hawa watani ticket ziliuzwa siku hiyo hiyo ya match, nadhan hata ya kesho itakuwa hivyo
 
Back
Top Bottom