Klabu ya soka ya Yanga hii leo imetangaza rasmi kuwa siku ya mchezo wa Yanga dhidi ya Medeama itakua siku maalum kwa tajiri wa klabu hiyo GSM.
Kwakua ni siku ya GSM hivyo basi tiketi zote za mzunguko zimenunuliwa hivyo Wananchi (Yanga) wataingia bure na kiingilio chako kikiwa ni jezi yako ya Yanga kutoka GSM.
Maoni yako ni yapi?