Tiketi za mzunguko bure Yanga vs Medeama

Tiketi za mzunguko bure Yanga vs Medeama

Hamisi mzigua

New Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
4
Reaction score
2
Klabu ya soka ya Yanga hii leo imetangaza rasmi kuwa siku ya mchezo wa Yanga dhidi ya Medeama itakua siku maalum kwa tajiri wa klabu hiyo GSM.

Kwakua ni siku ya GSM hivyo basi tiketi zote za mzunguko zimenunuliwa hivyo Wananchi (Yanga) wataingia bure na kiingilio chako kikiwa ni jezi yako ya Yanga kutoka GSM.

Maoni yako ni yapi?
 
Back
Top Bottom