secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Jul 9, 2026 #21 BlackPanther said: Leo mnaoshabikia nchi inayohalalisha ushoga kazi mnayo kwa akina hakimi, unaacha kushabikia wanaume then unaenda na wafaransa hahaaa aibu gani hii!!!πππππ dos.2020 The Icebreaker secretarybird Click to expand... Watu wanajipaka masizi halafu tuwashabikie! Hapana aisee!
BlackPanther said: Leo mnaoshabikia nchi inayohalalisha ushoga kazi mnayo kwa akina hakimi, unaacha kushabikia wanaume then unaenda na wafaransa hahaaa aibu gani hii!!!πππππ dos.2020 The Icebreaker secretarybird Click to expand... Watu wanajipaka masizi halafu tuwashabikie! Hapana aisee!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Jul 9, 2026 #22 Tiketi za mashindano makubwa huwa zinauzwa muda mrefu kabla ya mashindano kuanza...
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Jul 9, 2026 #23 BlackPanther said: Tena nimefurahi mno USA, BRAZIL NA PORTUGAL kuondolewa, bado ufaransa nitafurahi sana. Click to expand... Nipo na france leo nimebet!
BlackPanther said: Tena nimefurahi mno USA, BRAZIL NA PORTUGAL kuondolewa, bado ufaransa nitafurahi sana. Click to expand... Nipo na france leo nimebet!
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,534 Reaction score 11,445 Jul 9, 2026 #24 hydroxo said: Mashabiki wa Penaldo mnajifariji sana. Ukweli ni kwamba goti wenu wa kuchovya kafurushwa kwenye mashindano. Click to expand... Wana hasira hao kama mwanamke mgumba [emoji23]
hydroxo said: Mashabiki wa Penaldo mnajifariji sana. Ukweli ni kwamba goti wenu wa kuchovya kafurushwa kwenye mashindano. Click to expand... Wana hasira hao kama mwanamke mgumba [emoji23]