Tikiti maji na maziwa ya mtindi

Tikiti maji na maziwa ya mtindi

Huu nao ni uwongo ambao umegeuka ukweli. Mimi nina zaidi ya miaka 3 natumia mara kwa mara juice ya limau glasi moja na asali kijiko kikubwa kimoja... Labda hii post nimeituma kutoka kuzimu..

Tena ni dawa nzuri sana ya kifua na flue kali
 
Usitumie utakufa ndugu. Kuna anko wa rafik yangu alikufa hivihivi

Kuna wakati tuliambiwa pia ndizi mbivu na yai la kuchemsha ukila kwa pamoja unakufa, mie nishakula na sija [emoji43]. Hao waliotangulia ilikua zao zishafika
 
Back
Top Bottom