Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #21
Mbona hujafa basi? nani aliye kwambia eti ukila Asali na limao unakufa? Amepata wapi hayo mafundisho ya uongo?Nachojua ukichanganya asali na limao ndiyo unakufa. Kuna siku nilichanganya nikanywa.
Nimeonewa na Ma-moderator wa JF baadhi yao wana roho mbaya.Ilikuwaje Mzizimkavu akala umeme? (Ban)
Mbona huwa humble sana humu.
Jeuri unayo wewe nimeweka faida hapo juu hata kuweka (like) umeshindwa?sasa kati ya mimi na wewe ni nani jeuri?Ana kaujeuri flani hivi
Jielimishe ndugu, kama huna ushahidi na jambo kaa kimya...Usitumie utakufa ndugu. Kuna anko wa rafik yangu alikufa hivihivi
Huu nao ni uwongo ambao umegeuka ukweli. Mimi nina zaidi ya miaka 3 natumia mara kwa mara juice ya limau glasi moja na asali kijiko kikubwa kimoja... Labda hii post nimeituma kutoka kuzimu..Nachojua ukichanganya asali na limao ndiyo unakufa. Kuna siku nilichanganya nikanywa.
Mambo ya kuambiwa hayoo...Mbona natumia Sana asali na limao na bado mzima[emoji848]
Nani ambae hana jeuri? Tuachane na ilo. Hivi jeuri inapelekeaje mtu kupata ban?Ana kaujeuri flani hivi
Huu nao ni uwongo ambao umegeuka ukweli. Mimi nina zaidi ya miaka 3 natumia mara kwa mara juice ya limau glasi moja na asali kijiko kikubwa kimoja... Labda hii post nimeituma kutoka kuzimu..
Usitumie utakufa ndugu. Kuna anko wa rafik yangu alikufa hivihivi
Ulikufaje!?Nachojua ukichanganya asali na limao ndiyo unakufa. Kuna siku nilichanganya nikanywa.