loveness93
New Member
- Nov 19, 2018
- 3
- 1
Sio salama.Naomba kuuliza tikitimaji ni salama kwa mama mjamzito?tena ujauzito wa wiki tatu? Pia naomba kujuzwa na matunda mengine ambayo ni salama na ambayo si salama kwa afya ya mimba Changa na kuendelea pia,maana napenda sana tikiti na nakula sana.
Labda uanze kwa kutuambia labda umesikia au unajua nini kuhusu tikiti maji na ujauzitoNaomba kuuliza tikitimaji ni salama kwa mama mjamzito?tena ujauzito wa wiki tatu? Pia naomba kujuzwa na matunda mengine ambayo ni salama na ambayo si salama kwa afya ya mimba Changa na kuendelea pia,maana napenda sana tikiti na nakula sana.