Tikiti maji ni salama?

Tikiti maji ni salama?

loveness93

New Member
Joined
Nov 19, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Naomba kuuliza tikitimaji ni salama kwa mama mjamzito?tena ujauzito wa wiki tatu?

Pia naomba kujuzwa na matunda mengine ambayo ni salama na ambayo si salama kwa afya ya mimba Changa na kuendelea pia, maana napenda sana tikiti na nakula sana.
 
Naomba kuuliza tikitimaji ni salama kwa mama mjamzito?tena ujauzito wa wiki tatu? Pia naomba kujuzwa na matunda mengine ambayo ni salama na ambayo si salama kwa afya ya mimba Changa na kuendelea pia,maana napenda sana tikiti na nakula sana.
Sio salama.
 
Labda uanze kwa kutuambia labda umesikia au unajua nini kuhusu tikiti maji na ujauzito
 
Huku Mwanza wakulima wanayaharibu. Eti wamegundua sindano yakuyachoma yanakuwa makubwaaaa. Sijui kama hizo kemikali za hiyo dawa wanayochoma ni nzuri kwa afya
 
Bila shaka hiyo ni mimba ya kwanza
 
Back
Top Bottom