TikTok imeambiwa ifunge ofisi zake Canada

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe itaendelea kupatikana Canada. TikTok ina wafanyakazi mia kadhaa Canada wengi wao sio raia wa Canada.

Sababu kamili haijatajwa kwa vile inahusa usalama wa taifa.

Kampuni hiyo pia ina hadi tarehe 19 Jan kuuza umiliki wa kampuni au kampuni kufungiwa Marekani.
 
Hivi kwanini wamfanyia ivyo mchina ni wivu tu,au app inapeleleza mambo ya ndani, tatizo nini hasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…