Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe itaendelea kupatikana Canada. TikTok ina wafanyakazi mia kadhaa Canada wengi wao sio raia wa Canada.
Sababu kamili haijatajwa kwa vile inahusa usalama wa taifa.
Kampuni hiyo pia ina hadi tarehe 19 Jan kuuza umiliki wa kampuni au kampuni kufungiwa Marekani.
Sababu kamili haijatajwa kwa vile inahusa usalama wa taifa.
Kampuni hiyo pia ina hadi tarehe 19 Jan kuuza umiliki wa kampuni au kampuni kufungiwa Marekani.