Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
unatumia tiktok kwani wewe ni mwanamke 😂Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.
Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha…Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga,asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
[emoji1][emoji1] beba msala wako
si mbona tukifunguaga tips za mwanzo ni za bets
km sio muumini wa hizo mambo iweje zianze hizo na sio bets au busness?
Na ndivo ilivyo humu mitandaoni, huwa kinakuja kile ambacho huwa unaperuzi mara kwa mara.😄😄 beba msala wako
si mbona tukifunguaga tips za mwanzo ni za bets
km sio muumini wa hizo mambo iweje zianze hizo na sio bets au busness?
Wacha akuaibishe Tu..
Mtoto wa kiume unakuwaje na Tik tok au Snapchat
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na ndivo ilivyo humu mitandaoni, huwa kinakuja kile ambacho huwa unaperuzi mara kwa mara.
Huenda huwa unasaka sana hao watu, pole sana uache hiyo michezo mleta uzi.
bado na sie anatudanganya if sie ni kinderartenNa ndivo ilivyo humu mitandaoni, huwa kinakuja kile ambacho huwa unaperuzi mara kwa mara.
Huenda huwa unasaka sana hao watu, pole sana uache hiyo michezo mleta uzi.
Unachekacheka nini mtoto wa kiume?Sina Snapchat nina TikTok kwa ajili ya vichekesho
mwanaume unatafta wakumpiga tigo daahWanazileta randomly basi tu
ajue kuufinyia ulimi akiwa anaongea😜Unachekacheka nini mtoto wa kiume?
Mkuu ukiachilia mbali mambo ya jinsiaz yani mimi sijui no ushamba, sijawahi tumia snapchat wala tiktok kabisa sio kwenye simu yanhu au hata kwenye kuifungua kwenye simu ya mtu mwingine. Sijawahi kuwa na mzuka wa kuitumia kabisa.Wacha akuaibishe Tu..
Mtoto wa kiume unakuwaje na Tik tok au Snapchat
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Unachekacheka nini mtoto wa kiume?
Basi ni mambi unayoangalia sana ndgu.Huwa sisearch huwa ninascroll randomly tu hata account sina
Anatakiwa, lakini si kuchekachekaKwahiyo wanaume hatakiwi kucheka??