TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

Lukaku marata

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2019
Posts
449
Reaction score
752
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.

Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha.

Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga, asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
 
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.

Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha…Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga,asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
unatumia tiktok kwani wewe ni mwanamke 😂
 
😄😄 beba msala wako

si mbona tukifunguaga tips za mwanzo ni za bets

km sio muumini wa hizo mambo iweje zianze hizo na sio bets au busness?
Na ndivo ilivyo humu mitandaoni, huwa kinakuja kile ambacho huwa unaperuzi mara kwa mara.
Huenda huwa unasaka sana hao watu, pole sana uache hiyo michezo mleta uzi.
 
🤣🤣! Mpaka Facebook aibu mpaka wanafunzi wachuo huko tanga nilishangaaa nikampa block
 
Titkot wanaletaga videos randomly tu sio kama IG watakuletea vile unavyovicheck sana.

Tiktok gays wamejihalalisha huko balaa.. kuna siku unaweza maliza hata videos 20 hujaona, siku nyingine zitafululizia hapo balaa.

Binafsi niliifuta, ilikuwa inamaliza snaa mb zangu… naunga gb 12 nitoboe mwezi lkn ngoma inakata week 2 tu
 
Wacha akuaibishe Tu..
Mtoto wa kiume unakuwaje na Tik tok au Snapchat

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu ukiachilia mbali mambo ya jinsiaz yani mimi sijui no ushamba, sijawahi tumia snapchat wala tiktok kabisa sio kwenye simu yanhu au hata kwenye kuifungua kwenye simu ya mtu mwingine. Sijawahi kuwa na mzuka wa kuitumia kabisa.
 
Back
Top Bottom