TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

Unamshtaki au unalalamikia?
 
mimi situmii mtandao wowote ule zaid ya jf,wasap n you tube baada ya kuona ni upuuz tena ningekua na option ya kuacha wasap ningepiga chini na wasp yangu nina group 2 tu ambazo nikimaliza mission na zenyewe zinafutwa
 

Nilitafuta option ya kublock hasa yule Shangazi wa Mombasa maana maranyingi huja huja kwenye list ila sikuweza kutokana sina account
 
We mwanaume gani unatumia vitu vya kike iyo kitu wanawake ndio upenda sana kutumia mm binafsi sijawai kuitumia uwa naonaga tu mademu wanatumia
 
Mtoa mada ndo huyu mwemye kuwaka tamaa na wanaume wenzake...hahaha pungasese wewe
 
Nyie acheni mawazo mabaya ushoga na TikTok vinahusiana wapi na wapi? App ya TikTok ni kama app zingine. Ushoga ni tabia tu ya mtu na namna anavyotumia hiyo app kama ingekua Sheria kwamba Kila anayetumia TikTok ni shoga basi wangekua wengi sana. TikTok ni app ambayo unaweza kuangalia video nzuri na za kufurahisha na hamna Sheria inayosema kwamba mwanaume hapaswi kutumia TikTok .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…