Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unamshtaki au unalalamikia?Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.
Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha.
Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga, asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta