TikTok imekuwa chimbo jipya la kueneza uzinzi, ushoga ukahaba na uasherati ulipitiliza

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
806
Reaction score
1,296
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili

Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k

Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa earphone, labda kama umezoea kudhalilika na kujishushia hadhi

Watu wanafanya umalaya waziwazi, tena live bila chenga, watu wanajiuza kwa kila namna, sio wanawake, sio mashoga

Wanaoingia live ni kukata mauno tu, kuonyesha uchi, kuongelea ngono, ufuska, uasherati na umalaya wa kujiuza

Sasa hivi wameenda mbali zaidi, watu wanaingia live halafu wananyanduana live live...yaaani unasikia kabisa ile miguno ya kuzagamuana,zile sauti za kimahaba na wengine wanawasha kabisa camera zao ili muone midinyano

Siku izi ukitaka kuangalia ngono wala usiende xvideo, au pornhub, au xhamster...uko utakutana na video zilizorekodiwa na kufanyiwa editing.....Ingia tiktok ili uone ngono live kabisa bila chenga.

La kumalizia tu, tunapoelekea wala sitashangaa ntakapoanza kuona biashara haramu kama vile madawa ya kulevya, biashara ya viungo vya watu, mauaji na utekaji wa watu, kuuziana silaha n.k zikianza kufanyika tiktok live kabisaaa...nipo paleeeeeeeee
 
Nafikiri kila mtu analetewa vitu anavyovipenda!, sijawahi kuona video mbaya ama yenye maudhui ya ngono tiktok itakuwa unazisearch wewe mwenyewe!.

Huu mtandao ni mmoja wa mtandao ulionistaajabisha kwani mara nyingi umekuwa ukiniletea vitu navyopenda kuviona, nahisi ni kama vile wamekuwa wakidukua mtu ana search nini aidha Google ama sehemu nyengine!.
maana leo utaletewa let's say video nyingi za laptop kesho video nyingi zitakuwa zenye maudhui mengine tena vitu unavyotaka kununua!..
sasa mkuu wewe utatueleza kwanini unaletewa video za ngono..??!!

zaidi ya biashara, video za watu binafsi na vituko tiktok sijawahi kuona video yenye maudhui ya ngono!.
ila huo mtandao wa elon musk X ama twitter ya zamani ukifungua tu unaweza ukakutana na tako kubwa ambalo hujawahi kuliona!..🤣
halafu kuna kitu kinaitwa telegram aisee ule mtandao kwa juu juu tu unaweza kusema ni malaika ila kumbe malaika wa mule ndio shetani mwenyewe sema ametabasamu!, ule mtandao unaweza kushangaa unajibinya bila sababu...🤣
 
Telegram telegram telegram eh🙌🏾🤧
 
Kuna kitu kinaitwa algorithm
Kile unachozidi kukitazama mtandao husika(X,IG,YT,FB etc) ndio watakupa hichohicho.

Kama unaangalia kasongo utapewa video za kasongo mpaka uchoke, kama ni misambwanda utamwagiwa misambwanda mpaka uchane boksa, kama ni wanyama utapewa wanyama mpaka ujihisi we ni mnyama.

Conclusion: unapenda kuangalia hizo mambo ndio maana unaletewa kwenye for you feed.

Hapo mbona kidogo mkuu hujaona video za watu wakifanya cannibalism, gruesome minyanduano, utashangaa kumbe binadamu ni wanyama katili sana.
 
Jana niki browse live nikakutana na kam Kaka..

Nikasimama nione ana Dadaz na Kaka wamemu join chit chat yao..

Niliyoyasikia 😂😂😂 nilisema kumbeee laivu bila wasiwasi.. Nikakumbuka TCRA nikajisemea watajiju..

Nikaendelea kwa wauzaji napenda kuangalia bidhaa zao.. Na talks za nchi jirani na dunia..

Ila eeeeh kam Kaka kajipodoaaaa ana jikatikia kuvutia wateja wake 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna kitu kinaitwa algorithm
Kile unachozidi kukitazama mtandao husika(X,IG,YT,FB etc) ndio watakupa hichohicho.

Kama unaangalia kasongo utapewa video za kasongo mpaka uchoke, kama ni misambwanda utamwagiwa misambwanda mpaka uchane boksa, kama ni wanyama utapewa wanyama mpaka ujihisi we ni mnyama.

Conclusion: unapenda kuangalia hizo mambo ndio maana unaletewa kwenye for you feed.

Ndio ipo

ila ki area nayo zinakuja tu...
 
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili

Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k

Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa earphone, labda kama umezoea kudhalilika na kujishushia hadhi

Watu wanafanya umalaya waziwazi, tena live bila chenga, watu wanajiuza kwa kila namna, sio wanawake, sio mashoga

Wanaoingia live ni kukata mauno tu, kuonyesha uchi, kuongelea ngono, ufuska, uasherati na umalaya wa kujiuza

Sasa hivi wameenda mbali zaidi, watu wanaingia live halafu wananyanduana live live...yaaani unasikia kabisa ile miguno ya kuzagamuana,zile sauti za kimahaba na wengine wanawasha kabisa camera zao ili muone midinyano

Siku izi ukitaka kuangalia ngono wala usiende xvideo, au pornhub, au xhamster...uko utakutana na video zilizorekodiwa na kufanyiwa editing.....Ingia tiktok ili uone ngono live kabisa bila chenga.

La kumalizia tu, tunapoelekea wala sitashangaa ntakapoanza kuona biashara haramu kama vile madawa ya kulevya, biashara ya viungo vya watu, mauaji na utekaji wa watu, kuuziana silaha n.k zikianza kufanyika tiktok live kabisaaa...nipo paleeeeeeeee
We mwenyewe hapa unapromoti huo ushenzi. Sisi wengine tuko tiktok siku nyingi lkn hatukutani na ushenz huo
 
Ume follow ashuramtamu, Amina kiuno na wakienyeji. Ulitegemea uletewe video zenye maudhui gani tofauti na page ulizo follow?
 
Sikuwahi, siwezi na sitawahi kuja kutumia huu mtandao. Mwanaume anaetumia hii kitu sijui huwa namchukuliaje tu
 
Upo sahihi mfano mimi. Instagram napenda kuchek video za ajali A magari na zile video za wezi waliofelo kwenye mission zao mara nyingi naletewa hizo hzo
Nafikiri kila mtu analetewa vitu anavyovipenda!, sijawahi kuona video mbaya ama yenye maudhui ya ngono tiktok itakuwa unazisearch wewe mwenyewe!.

Huu mtandao ni mmoja wa mtandao ulionistaajabisha kwani mara nyingi umekuwa ukiniletea vitu navyopenda kuviona, nahisi ni kama vile wamekuwa wakidukua mtu ana search nini aidha Google ama sehemu nyengine!.
maana leo utaletewa let's say video nyingi za laptop kesho video nyingi zitakuwa zenye maudhui mengine tena vitu unavyotaka kununua!..
sasa mkuu wewe utatueleza kwanini unaletewa video za ngono..??!!

zaidi ya biashara, video za watu binafsi na vituko tiktok sijawahi kuona video yenye maudhui ya ngono!.
ila huo mtandao wa elon musk X ama twitter ya zamani ukifungua tu unaweza ukakutana na tako kubwa ambalo hujawahi kuliona!..🤣
halafu kuna kitu kinaitwa telegram aisee ule mtandao kwa juu juu tu unaweza kusema ni malaika ila kumbe malaika wa mule ndio shetani mwenyewe sema ametabasamu!, ule mtandao unaweza kushangaa unajibinya bila sababu...🤣
hih
 
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili

Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k

Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa earphone, labda kama umezoea kudhalilika na kujishushia hadhi

Watu wanafanya umalaya waziwazi, tena live bila chenga, watu wanajiuza kwa kila namna, sio wanawake, sio mashoga

Wanaoingia live ni kukata mauno tu, kuonyesha uchi, kuongelea ngono, ufuska, uasherati na umalaya wa kujiuza

Sasa hivi wameenda mbali zaidi, watu wanaingia live halafu wananyanduana live live...yaaani unasikia kabisa ile miguno ya kuzagamuana,zile sauti za kimahaba na wengine wanawasha kabisa camera zao ili muone midinyano

Siku izi ukitaka kuangalia ngono wala usiende xvideo, au pornhub, au xhamster...uko utakutana na video zilizorekodiwa na kufanyiwa editing.....Ingia tiktok ili uone ngono live kabisa bila chenga.

La kumalizia tu, tunapoelekea wala sitashangaa ntakapoanza kuona biashara haramu kama vile madawa ya kulevya, biashara ya viungo vya watu, mauaji na utekaji wa watu, kuuziana silaha n.k zikianza kufanyika tiktok live kabisaaa...nipo paleeeeeeeee
I naandika nini hadi unapata hayo mavitu ya ajabu?
 
Back
Top Bottom