Jana niki browse live nikakutana na kam Kaka..
Nikasimama nione ana Dadaz na Kaka wamemu join chit chat yao..
Niliyoyasikia [emoji23][emoji23][emoji23] nilisema kumbeee laivu bila wasiwasi.. Nikakumbuka TCRA nikajisemea watajiju..
Nikaendelea kwa wauzaji napenda kuangalia bidhaa zao.. Na talks za nchi jirani na dunia..
Ila eeeeh kam Kaka kajipodoaaaa ana jikatikia kuvutia wateja wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]