Tiktok kwa moto huko, hivi wale ni Watanzania wenzetu kweli maana sio poa

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
502
Reaction score
1,141
Wadau, Watanzania wamechoka na huu utawala. Yani Tiktok ni mtandao ambao wabongo wameu criticise sana ila kwa sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kutokuwa na vijana waoga

Nyie, kumbe ukiwa unakaribia kupata uhuru ndo unajisikia raha hivi, hamna siku nimefurahi kama leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebu angalieni hii video kutoka Tiktok
Your browser is not able to display this video.
 
Ni Ugonjwa wa likes na comments unawasumbua ndo walewale mwenzao aliepigwa virungu mahakamani wakamkimbia
 
Vijana ww na nani !?
Kama wewe ni mzee umefata nini kwenye uzi wa vulugu? Hujui tarehe 29 wanahitajika vijana pekee, ludisha ngoko zako barazani usubili kujifia kwa amani, siyo kupondwa pondwa na Muliro barabarani mzee!...
 
Muliro mchumba tu, muonye Mzee wako abadilike mapema kabla ya tarehe 29, otherwise utaunganishwa ww, Mzee wako Muliro na ukoo wenu mzima, kiberiti tu.
Hiyo ndio dawa ya wezi kupigwa mawe na kuchomwa moto mpaka kifo.

Wape salama, tukutane tarehe 29
 
Nyie, kumbe ukiwa unakaribia kupata uhuru ndo unajisikia raha hivi, hamna siku nimefurahi kama leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muliro mchumba tu, muonye Mzee wako abadilike mapema kabla ya tarehe 29, otherwise utaunganishwa ww, Mzee wako Muliro na ukoo wenu mzima, kiberiti tu.
Hiyo ndio dawa ya wezi kupigwa mawe na kuchomwa moto mpaka kifo.

Wape salama, tukutane tarehe 29
Yaani wewe mzee unachekesha sana, unakataa kuitwa kijana halafu unalopoka mambo usiyoweza kuyafanya na makunyanzi yako usoni, zingatia hii sina undugu na muliro mimi na yeye ni maji na moto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…